Skip to playerSkip to main content
  • 4 years ago
Vinara Katika Muungano Wa One Kenya Wametangaza Kwamba Hivi Karibuni Watatangaza Mgombea Wa Urais Wa Muungano Huo.Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi Aidha Amegadhabishwa Na Vitisho Vya Serikali Kuhusu Ni Nani Wa Kuunga Mkono Katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Comments

Recommended