Jubilee Kuandaa Kongamano La Wajumbe Mwisho Wa Novemba

  • 3 years ago
Chama Cha Jubilee Kimetaja Tarehe Ambapo Kitaandaa Mkutano Wa Kitaifa Wa Wajumbe Wake-Ndc, Ili Kufanya Mabadiliko Yanayokusudia Kuwafurusha Baadhi Ya Wanachama Wanaokusudiwa Kuwa Waasi Chamani. Hata Hivyo, Mpango Wa Kuwafurusha Wanachama Wanaochukuliwa Kuwa Waasi Katika Chama Cha Jubilee, Unaonekana Umeshika Kasi, Kulingana Na Tuju.

Recommended