Msichana Afa Akijifungua Siku Mbili Kabla Ya Kukalia Mtihani Wa KCSE

  • 3 years ago
Familia Moja Kutoka Banja Eneo Bunge La Kaimosi Kaunti Ya Vihiga Wanaomba Msaada Wa Kumalizia Malipo Ya Ada Ya Matibabu Hospitalini Na Kuusafirisha Mwili Wa Mwanao Aliyekuwa Mtahiniwa Wa Kidato Cha Nne Na Aliyefariki Akijifungua Siku Mbili Tu Kabla Ya Kungoa Nanga Rasmi Kwa Mtihani Huo Wa Kitaifa. Kabla Ya Kufariki Juliana Musembi Alipokea Matibabu Katika Hospitali Ya Banja Na Hatimaye Kufanyiwa Upasuaji Katika Hosipitali Ya Jumuiya Ya Kaimosi. Mwanahabari Wtu Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.