Skip to playerSkip to main content
  • 6 years ago
Zaidi ya familia 3000 zinazoishi katika maeneo ya mabanda kaunti ya Nakuru zimepata afueni ya kupata ardhi na nyumba bora kutoka kwa serikali. Mradi huo wa serikali umetoa hati miliki 4000 za ardhi kwa wakaazi hawa.

Category

🗞
News

Recommended