Skip to playerSkip to main content
  • 6 years ago
Kwa muda mrefu soka ya kina dada ñchini hasa mashinani imetelekezwa, hali inayosababisha ushabiki wa mchezo huu ñchini kudunishwa na hata kuwekwa kwenye kaburi la sahau. Runinga ya ebru ilizuru Uasin Gishu mashinani na kukutana na klabu ya kinadada ya Ng'aniat FC katika eneo la Kapseret na kukuandalia makala kuhusu masaibu yanayokumba soka ya kina dada ñchini.

Category

🗞
News

Recommended