Skip to playerSkip to main content
  • 4 years ago
Mwanaume Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka 40 Aligongwa Na Kuuwawa Na Fahali Katika Kijiji Cha Mtetemo Eneo Bunge La Mumias East Kaunti Ya Kakamega Wakati Wa Pambano La Fahali Wawili. Kisa Hiki Kinajiri Siku Chache Baada Ya Mtu Mwingine Kufariki Baada Ya Kugongwa Kifuani Na Kisha Kutolewa Macho Na Fahali.
Comments

Recommended