Skip to playerSkip to main content
  • 4 years ago
Naibu Rais William Ruto Amepeleka Kampeni Zake Za Mabadiliko Ya Uchumi Kaunti Ya Kisii Alikozidisha Vijembe Dhidi Ya Maafisa Wa Serikali Anaosema Kuwa Wanajihusisha Na Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Ujao. Kulingana Na Ruto Na Wendani Wake, Sio Sawa Kwa Mawaziri Wa Serikali Kujiingiza Katika Maswala Ya Uchaguzi Ili Kuhakikihsha Uhuru Wa Uchaguzi Huo.
Comments

Recommended