Hatimae Wakili Prof Hassan Nandwa Amepatikana Baada Ya Kutoweka Katika Mazingira Yasioleweka.Hata Hivyo Mteja Wake Elgiva Brire Angali Kupatikana.Bwire Alikuwa Ametamatisha Kifungo Chake Baada Ya Kuhukumiwa Kwa Kosa La Ugaidi.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Ameifuatilia Taarifa Hiyo Na Kukuandalia Taswira Ifuatayo
Comments