Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Washikdau Katika Sekta Ya Kibinafsi Wamelalama Kuwa Mipango Kuu Ya Serikali Kutolenga Maslahi Ya Vijana Nchini.Sasa Wanaitaka Serikali Kubuni Mipango Ambao Itawajumuisha Vijana Wakati Taifa Linaelekea Katika Uchaguzi Mkuu Nchini 2022.
Comments

Recommended