Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Waziri Msaidizi Katika Wizara Ya Utumishi Kwa Umma Beatrice Elachi Ameitaka Serikali Kutoa Amri Kwa Wahudumu Wa Bodaboda Kusajili Katika Vyama Ushirika Ili Kuzuia Utovu Wa Usalama Hasa Kwenye Kampeni.Elachi Amesema Wengi Wa Wanabodaboda Hutumiwa Na Wanasiasa Kuzua Uhasama Dhidi Ya Wapinzani Wao Hali Anayosema Inaogopesha Akina Mama Kujiunga Katika Katika Siasa Wakihofia Tahadhari Zake
Comments

Recommended