Wakulima Katika Kaunti Ya Embu Wametakiwa Kuhakikisha Kuwa Wanatilia Maanani Msimu Wa Mvua Fupi Inayotarajiwa Kunyesha Kuanzia Mwezi Ujao Hadi Mwezi Disemba.Kulingana Na Watabiri Wa Hali Ya Hewa, Mvua Hiyo Itakuwa Chini Mno Hali Ambayo Itaendeleza Msimu Wa Kiangazi Iwapo Hatua Hazitachukuliwa Ili Kukabiliana Na Halii Hii.
Comments