Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Maafisa Wa Polisi Wamewakamata Washukiwa Wanne Eneo La Mwiki Kwa Kuuza Bidhaa Gushi Za Mafuta Ya Gari.Wanne Hawa Wamezuiliwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Kasarani Wakisubiriwa Kufikishwa Mahakamani Jumatatu.
Comments

Recommended