Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Taharuki Imetanda Katika Sehemu Ya Wangwaci Iliyo Katika Wadi Ya Ol Moran, Kaunti Ya Laikipia Baada Ya Mwanaume Mmoja Wa Umri Wa Miaka 64 Kuuawa Kwa Kupigwa Risasi Na Watu Wanaoshukiwa Kuwa Majambazi Waliojihami. Ni Hali Inayozidisha Hofu Miongoni Mwa Wakaazi Ni Cha 13 Tangia Kuanza Kwa Machafuko Hayo Mapema Mwezi Huu.
Comments

Recommended