Juhudi Za Viongozi Wa Makanisa Kuwanyima Wanasiasa Fursa Ya Kuhutubia Waumini Kwenye Madhebahu Imepuuzwa Na Nyingi Ya Makanisa.Naibu Wa Rais William Ruto,Kinara Wa Chama Cha Anc Musalia Mudavadi Na Mwenzake Wa Kanu Gideoni Moi Ni Miongoni Mwa Viongozi Wa Kisiasa Waliopokelewa Vyema Na Kuruhusiwa Kurindima Ngoma Ya Siasa Kama Anavyoeleza Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba
Comments