Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Mbunge Mmoja Anazuiliwa Na Vikosi Vya Usalama Huku Mwengine Akishtakiwa Kwa Tuhuma Za Kuwachochea Wenyeji Kufuatia Vurumai Inayoendelea Katika Kaunti Ya Laikipia. Wabunge William Kamket Wa Tiaty Na Yule Wa Zamani Mathey Lempurkel Walitiwa Nguvuni Siku Ya Jumatano Kuhusiana Na Ghasia Za Laikipia Ambapo Watu Zaidi Ya 10 Wamefariki Huku Mamia Ya Wenyeji Wakilazimika Kuhama Makwao.
Comments

Recommended