Mamlaka Ya Kuangazia Takwimu Nchini Imebaini Kuwa Huenda Uchumi Wa Taifa Ukaimarika Kwa Asilimia 6 Mwaka Huu Baada Ya Kudodora Kwa Asilimia 0.3 Mwaka Jana. Akitoa Takwimu Hizo Kwenye Ripoti Ya Uchumi Ya Mwaka Huu Waziri Wa Fedha Ukur Yattani, Kuimarika Huko Kutachangiwa Na Ongezeko La Ajira Miongoni Mwa Wakenya. Haya Yanajiri Huku Ikibainika Kuwa Takriban Wakenya 740,000 Walipoteza Ajira Mwaka Jana Kutokana Na Athari Za Janga La Corona. Busara Naaman Na Taarifa Zaidi.
Comments