Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Wiki Moja Tu Baada Ya Kuibuka Kuwa Kuna Uhaba Wa Majeneza Kutokana Na Ongezeko La Idadi Ya Watu Wanaofariki, Hali Inazidi Kuwa Mbaya Zaidi Hususan Makaburini Kwani Mengi Yamejaa Huku Yakikosa Nafasi Ya Kuwazika Wafu Zaidi. Katika Kaunti Ya Nairobi, Makaburi Ya Langata Yamejaa Pomoni, Huku Wahudumu Wakisema Kwa Sasa Wanalazimika Kuchimba Makaburi 10 Hadi 15 Kwa Siku Kinyume Na Awali Ambapo Walikuwa Wanachimba Makaburi Matano Kwa Siku. Busara Naaman Ameangazia Jinsi Biashara Ya Majeneza Inavyoendelea Na Amezuru Makaburi Ya Langata Kutathmini Hali Halisi.
Comments

Recommended