Naibu Rais William Ruto Ndiye Kiongozi Katika Wadhifa Wowote Chini Ya Rais Nchini Kenya Kuwahi Kulindwa Na Idadi Kubwa Zaidi Ya Maafisa Wa Usalama Katika Historia Ya Kenya. Kulingana Stakabdhi Zilizowasilishwa Katika Kamati Ya Bunge Ya Usalama Na Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Hii Leo, Naibu Rais William Ruto Analindwa Na Jumla Ya Maafisa 257 Wa Polisi.
Comments