Wanafunzi 12,827 Hawajaripoti Katika Shule Za Sekondari Kilifi

  • 3 years ago
Takriban Wanafunzi 34 Waliofanya Mithani Wa Kcpe Mwaka Jana Hawajasajiliwa Katika Shule Ya Sekondari Ya Wasichana Ya Wakala Kaunti Ya Kilifi. Haya Ni Kulingana Na Mratibu Wa Eneo La Pwani John Elungata Anayetaja Kuwa Wanafunzi Hao Hadi Kufikia Sasa Hawajulikani Walipo Jambo Linalokwamisha Jitihada Za Kuafikia Asilimia 100 Ya Watahiniwa Kujiunga Na Shule Za Sekondari….

Recommended