Baraza La Magavana Limehairisha Kongamano La 11 La Ugatuzi Lililotarajiwa Kuandaliwa Mwezi Huu Kuanzia Tarehe 23 Hadi 26. Hii Ni Kufuatia Tangazo La Serikali La Kuongeza Muda Wa Kanuni Za Kudhibiti Kusambaza Kwa Virusi Vya Corona Kama Vile Kafyu Na Marufuku Ya Mikutano Ya Hadhara Na Ile Ya Kampeni.
Comments