Serikali Imetenga Kima Cha Shilingi Milioni 558 Zakukabiliana Na Janga La Ukame Katika Kaunti Zilizoathirika Na Makali Yake.Kufikia Sasa Ni Kaunti Nne Zilizoathirika Pakubwa Zikiacha Wakenya Zaidi Ya Milioni Mbili Wakigaagaa Na Ukosefu Wa Chakula Na Maji..
Comments