Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Gavana Wa Kaunti Ya Kirinyaga Anne Waiguru Anawaunga Mkono Wakulima Kufuga Nguruwe Ili Kukidhi Mahitaji Ya Nguruwe Ndani Na Nje Ya Nchi. Gavana Huyo Amesema Kuwa Mradi Wa Ufugaji Nguruwe Unasaidia Wakulima Kuimarisha Uzalishaji Wao Wa Kilimo Kwa Lengo La Kuboresha Mapato Yao Ya Siku Wakati Ambapo Uchumi Wa Nchi Umekumbwa Na Makali Ya Janga La Korona
Comments

Recommended