Huku Ulimwengu Mzima Ukipambana Na Makali Ya Corona Haswa Aina Ya Delta, Mataifa Mengi Yamelazimika Kutafuta Mbinu Mbadala Ili Kuzuia Kusambaa Zaidi Kwa Maambukizi Ya Corona Ikiwemo Kuchanganya Chanjo. Sasa Kenya Imetangaza Kuwa Itajaribu Mbinu Hii, Licha Ya Shirika La Afya Duiniani Kuonya Dhidhi Yake.
Comments