Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Wafanyabiashara Katika Soko La Likuyani Kaunti Ya Kakamega Wameeleza Ghadhabu Yao Baada Ya Kampuni Moja Ya Ujenzi Inayohusushwa Na Mtu Mmoja Mashuhuri Kutupa Taka Karibu Na Eneo Lao La Kufanyia Biashara. Wakiongozwa Na Mbunge Wa Likuyani Enock Kibunguchi, Wafanyabiashara Hao Wanasema Kuwa Hali Hiyo Imeleta Uvundo Ambao Unaharibu Biashara Zao.
Comments

Recommended