Serikali imeonya wakaazi kutoka kaunti ya Kilifi eneo lapwani dhidi ya kuuza ardhi baada ya kusambazwa wiki hii. Kulingana na gavana wa Kilifi Amason Kingi hatua hiyo itawaona wakigaagaa katika lindi la umaskini na hata kusitisha jitihada za kupunguza visa vya mizozo ya ardhi iliokita mizizi kwa miaka.
Comments