Ni Afueni Kwa Rais Wa Chama Cha Mawakili Nelson Havi Baada Ya Mahakama Kusimamisha Mchakato Wa Kujibu Mashtaka Katika Kesi Ya Shambulizi Dhidi Ya Afisa Mtendaji Wa Lsk Mercy Wambua. Haya Yanajiri Siku Moja Tu Baada Ya Kukamatwa Kwake Na Baadae Kuachiliwa Kwa Dhamana Ya Polisi Ya Elfu 10. Anavyoelezea Busara Naaman, Afisi Ya Mkurugenzi Wa Mashtaka Ya Umma Imeapa Kuelekea Kortini Kupinga Uamuzi Huo.
Comments