Mwanafunzi Wa Utabibu Amepatikana Akiwa Amefariki Katika Chumba Chake Cha Kukodisha Mjini Homabay Katika Kile Ambacho Polisi Wanaamini Ni Tukio La Mauaji. Marehemu Alikosekana Tangu Jumapili. Kiongozi Wa Wanafunzi David Odhiambo Aliwataka Polisi Na Idara Ya Uchunguzi Wa Makosa Ya Jinai Nchini Homa Bay Kuharakisha Uchunguzi Kubaini Chanzo Cha Kifo Hicho. Mwandishi Wetu Hotho Hassan Akiwa Na Zaidi
Comments