Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Wanaharakati Na Baadhi Ya Wanasiasa Wameongoza Wakenya Kuadhimisha Siku Kuu Ya Sabasaba Mwaka 1990 Kuhusu Mkutano Wa Kihistoria Wa Kushinikiza Kuwepo Kwa Vyama Vyingi. Njeru Kathangu Na Ngotho Kariuki Ni Baadhi Ya Wanasiasa Walioshiriki Kwenye Maandamano Hayo Na Leo Wamewasuta Rais Uhuru Kenyatta Na Kinara Wa Odm Raila Odinga Kutumia Njia Za Mkato Kuifanyia Katiba Marekebisho. Na Kama Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Anavyoripoti, Maafisa Wa Polisi Walitibua Mikutano Ya Wanaharakati Waliokuwa Wakipanga Kuandamana Hapa Jijini Nairobi.
Comments

Recommended