Waziri mkuu wa uingereza Boris Johnson ametangaza mipango ya kuondoa masharti ya kuzuia maambukizi ya corona ikiwemo kuvaa barakoa na kuzingatia umbali wa mita moja. Akitoa tangazo hili, Boris amesema kuwa mabadiliko haya yameafikiwa baada ya kutolewa kwa chanjo kwa umati. Kwa sasa Boris amesisitiza kuwa ni jukumu la kila mwingereza kujikinga kutokana na maambukizi ya corona.
Comments