Huku Maandamano Ya Kupinga Utawala Wa Eswatini Yakigeuka Na Kuwa Vurugu, Ripoti Zimeibuka Kuwa Mfalme Mswati Wa Tatu Ametoweka Katika Ikulu Yake. Katika Maandamano Hayo Baadhi Ya Watu Nchini Eswatini Wanataka Mageuzi Katika Mfumo Wa Utawala Wa Nchi Hiyo Ya Kifalme Ya Kusini Mwa Afrika. Hata Hivyo, Serikali Ya Eswatini Imekana Madai Hayo Ikisema Kuwa Si Ya Kweli Kwani Mfalme Mswati Wa Tatu Yupo Nchini Humo.
Comments