Skip to playerSkip to main contentSkip to footer
  • 6/29/2021
Maelfu Ya Wakenya Katika Eneo La Kaskazini Mwa Kenya Wanaendelea Kukumbana Na Makali Ya Ukame Na Baa La Njaa Huku Wengi Wao Wakiwa Katika Hatari Ya Kuangamia. Haya Yamedhibitishwa Na Waziri Wa Ugatuzi Eugine Wamalwa Aliyebaini Kuwa Serikali Kwa Ushirikiano Na Mashirika Mengine Wameanza Mchakato Wa Kuasambaza Chakula Ili Kuwaokoa Na Kuwasaidia Walioathirika.

Recommended