Serikali Yaanzisha Msako Mkali Wa Kuwanasa Wezi Wa Mifugo Nakuru
  • 3 years ago
Ole Wako Ikiwa Unajihusisha Na Wizi Wa Ng'ombe Katika Kaunti Ya Nakuru Kwani Serikali Imeanzisha Zoezi La Kuwasaka Wezi Wa Ngombe Hususan Katika Msitu Wa Logoman Kaunti Ndogo Ya Njoro. Hatua Hii Inafuatia Matukio Ya Wizi Wa Ngombe Yaliyopelekea Vifo Vya Watu Watatu.
Recommended