Wito Umetolewa Kwa Viongozi Humu Nchini Kutekeleza Wajibu Wao Wa Kuhakikisha Kuwa Wakenya Wanapata Huduma Bora Bila Kuzingatia Misimamo Yao Ya Kisiasa. Kulingana Na Gavana Wa Machakos Alfred Mutua, Utengano Na Uhasama Kwa Kuzingatia Misimamo Ya Kisiasa Umechangia Pakubwa Kudorora Kwa Maendeleo Katika Maeneo Kadhaa Humu Nchini, Hali Ambayo Inachangia Kuongezeka Kwa Pengo Baina Ya Wanaojiweza Na Maskini Hohe Hahe.
Comments