Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Watu 166 Wamepatikana Na Virusi Vya Corona Baada Ya Sampuli 3,561 Kupimwa Katika Saa 24 Zilizopita Na Kufikisha Visa Hivyo Kuwa Laki 1 Elfu 72, Mia 491. Kulingana Na Takwimu Kutoka Wizara Ya Afya, Asilmia Ya Maambukizi Nchini Kwa Sasa Imefika 4.7%.
Comments

Recommended