Zaidi Ya Watahiniwa 893 Wamepata Alama A Katika Matokeo Ya Mtihani Wa Kcse Ya Mwaka 2020 Ikilinganishwa Na Ya Mwaka 2019. Kati Ya Watahiniwa Hao Akiwa Robinson Wanjala Aliyekomoa Alama 87.34. Hayo Yakijiri Wasichana Wamezidi Kuwakilisha Alama Za Juu ,Shule Ya Upili Ya Kenya Ikiongoza Orodha Ya Shule Zilizong'aa Katika Matokeo Baada Ya Wanafunzi Zaidi Ya 6 Kuwa Kati Ya 15 Bora Kote Nchini. Mwanahabari Milliah Kisienya Na Mengi Zaidi.
Comments