Shule Zimefunguliwa Rasmi Hii Leo Kwa Muhula Wa Tatu Ambao Utadumu Hadi Julai Tarehe 16 Ambapo Shule Zitafungwa Kwa Mapumziko Mafupi. Hata Hivyo Kudorora Kwa Uchumi Na Kupanda Kwa Gharama Ya Maisha Kunazidi Kuwakosesha Usingizi Wazazi Wengi Ambao Wanawarejesha Wanao Shuleni. Kwenye Makala Ya Leo Ya Gharama Ya Corona, Tunamuangazia Mama Ruth Auma Ambaye Ni Msusi, Anayetuelezea Jinsi Corona Ilivyoathiri Maisha Yake.
Comments