Wabunge Wamesitisha Kikao Cha Mchana Baada Ya Kugundua Kwamba Serikali Haijasambaza Fedha Za Kustawi Maeneo Bunge Cdf.Kila Mbunge Anadai Kiticha Cha Shillingi Milioni 138 Katika Mwaka Wa Kifedha 2020/2021.Juhudi Za Kiongozi Wa Wengi Amos Kimunya Kuwashawishi Wabunge Kupitisha Mswada Wa Ugavi Wa Mapato Ziliambulia Patupu Wakisema Watatekeleza Wajibu Huo Punde Tu Fedha Za Cdf Zitakapowasili Kwenye Akaunti Zao Za Cdf