Skip to playerSkip to main content
  • 6 years ago
Vugu Vugu La Kenya Huru Au Kwa Ki Mombo Freekenya Movement Imeanza Rasmi Safari Ya Kukusanya Sahihi Kwa Wakenya Kwa Lengo La Kufanyia Katiba Marekebisho Ili Kumufaidi Mkenya Wa Kawaidi. Wakihutubia Wanahabari Jioni Hii,Vugu Vugu Hilo Likiongozwa Na Bob Njagi Wamewarai Wakenya Kuunga Mapendekezo Yao Yanayolenga Kuimarisha Na Kustawisha Maisha Ya Mkenya Kupitia Mabadiliko Ya Kikatiba

Recommended