Wakazi Wa Kirinyaga Wajitokeza Kusherekea Mashujaa Wao

  • 3 years ago
Licha Ya Sheria Za Kudhibiti Msambao Wa Virusi Vya Korona, Wakenya Wa Ngazi Mbali Mbali Walijitokeza Kuadhimisha Sikukuu Ya Mashujaa Zilizoandaliwa Kaunti Ya Kirinyaga. Sherehe Hizo Zilishuhudia Mbwembwe Za Aina Yake Kama Vile Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu.

Recommended