Skip to playerSkip to main content
  • 6 months ago
Helping Hands
Transcript
00:00Kama unaweza kuwa nurugizani, nurugizani, nurugizani
00:08Kuwa kivuli kwa nyeju wakati
00:12Tusaidia mute wenye shida, wanaitajim sada wetu
00:22Kama jina na itua Rebecca Tieno, kutoka Kisumu
00:41Nimefuraiya sana watu wa UTV, wamenisaidia kuponyesha uumitoto yangu
00:48Alikuwa mgonjwa, kitu ilikuwa imamfurisha mdomoni
00:52Mtuoto alikuwa na growth, alikuwa inamea sana
00:56Hata sikuujua kama takuwa mzima
00:59Nilishikuwa na hofu, shindwe nifanye nini
01:04Nika sema, ah mungu, wanini mbona ananiweka kwa hii dunia na ayo napitia mateso
01:11Hata nilisema, hey, hata heri nisinge kuwa kuona ayo
01:15Lakini mungu alinishikilia mkono
01:19Wakaniletea hawa watu
01:21Wakasaidia mimi
01:23Sasa saa hii hata mtoto wako haya na kula
01:26Nimeshukuru
01:29Mungu wasaidia hawa watu wote
01:31Iyo growth ilikuwa inasikuwa tu, inakuwa, inakuwa
01:36Hakuna mwisho yake
01:38Sasa lakini saa hii mtoto anawonekana suramsuri
01:42Hatu walikuwa na ogopa kucheza na wenzake
01:46Kwa hivu nimeshukuru sana
01:48Angefanyiwa hiyo, sijui kama angekua hai
01:51Sidani
01:53Kasabu hiyo kitu ilikuwa inamea
01:55Hata ingekua imefikia tumboni
01:59Lakini mungu wakasaidia ikatolewa
02:02Ningependa kwa ambia watu wa UTV
02:05Nimewashukuru sana
02:07Huyo mungu aliwaleta
02:09Hamefanya msuri
02:11Siku jua
02:13Siku dhani hata ningekua hivi bilivyo
02:17Lakini kwa ueso wa mungu
02:19Nimeshukuru
02:21Kwa hiyo yote wamenifanyia
02:24Sija ona ubaya
02:26Kama unaweza kuwa nurugizani
02:31Nurugizani
02:33Nurugizani
02:35Kuwa kivuli kwa njeju wakati
02:39Tusaidia mute wenye shida
02:45Wanaitaji msada wetu
02:49Tuwashike mikono
02:58Tuwoneshe mifano
03:02Tuwoneshe msada wetu
03:04Tuwoneshe msada wetu