MAMBO MATATU USIOYAJUA KUHUSU JUX NA VANESSA MDEE/MIMI MARS "NIPO SINGLE" Kupitia #TheTrends Vanessa Mdee, Mimi Mars, Izzo Business, Cyrill Kamikaze Na Wengine Wamezungumza Makubwa Matatu Juu Ya Jux Kwenye Birthday Party Yake Iliofanyika Hyatt Regency.