Skip to playerSkip to main content
  • 7 years ago
Kijana Ambaye Aliteka sana mitandaoni baada ya story Yake ya Kuiba Gunia la mahindi Huko Pwani na Kujisalimisha polisi mara baada ya kusema kuwa Gunia hilo aliloliiba kwa mama Mmoja kugoma kushuka kichwani mara baada ya kulibeba,
Azungumza Ukweli Wote Kuhusiana na Tukio Hilo. na kusema kuwa haikua kweli ila alifanya vile baada ya kudanganywa na matapeli kuwa akifanya hivyo atapatiwa pesa kiasi cha Tsh Million 2.

Category

People
Be the first to comment
Add your comment

Recommended