children supervision(Malezi ya watoto)

  • 12 years ago
Wazazi tunatakiwa Jirekebisha na kukumbuka kuwa watoto wanafanya vile wanavyoona na wanavyosikia. Tusipo Badilika sis wazazi itakuwa ngumu sana kuwarekebisha watoto wetu na hali itakuwa mbaya sana hapo baadae,Taifa letu litateketea. Video hii imetolewa toka http://freebongo.blogspot.com/2012/09/kuna-video-moja-nimetumiwa-ni-video.html#_ na maelezo kuhusu hii video pia yapo hapo.

Recommended