Wiper: Tuko Imara Ndani Ya Azimio

  • last year
Wajumbe Na Viongozi Katika Chama Cha Wiper Kilichoko Chini Ya Muungano Wa Azimio La Umoja One Kenya , Wamesisitiza Kuwa Chama Hicho Kiko Imara Ndani Ya Muungano Huo Na Hivyo Kitaendelea Kushiriki Mikutano Au Mabaraza Yanayoongozwa Na Kinara Wa Muungano Huo Raila Odinga. Semi Hizi Zimejiri Wakati Wa Wa Chama Hicho Cha Wiper Ulioandaliwa Naivasha Kaunti Ya Nakuru.