Jaji Mkuu Aongoza Uapisho Wa Ummi Mohammed Kwenye Baraza La Mashujaa

  • last year
Jaji Mkuu Martha Koome Amesisitiza Haja Kubwa Ya Kuwatambua Mashujaa Wa Kitaifa Ili Kukuza Tabia Njema Katika Jamii Na Taifa Kwa Jumla. Koome Alisema Hayo Aliposhuhudia Uapisho Wa Katibu Katika Wizara Ya Utamaduni Na Itikadi Bi Uumi Bashir Mohammed Kwenye Baraza La Mashujaa.