Afueni Kwa Wanaostaafu: Serikali Yaanzisha Mpango Mpya Ya Kuwalipa Wafanyakazi Wanaostaafu

  • last year
Wafanyikazi Wa Umaa Wanaostaafu Watapata Pesa Zao Za Uzeeni Ndani Ya Siku 90 Baada Ya Kustaafu. Malipo Hayo Ya Uzeeni Yatafutia Harakati Za Wizara Ya Fedha Kuandaa Mchakato Wa Kuwashughulika Wafanyakazi Wanaostaafu . Idara Hiyo Inapanga Shuguli Ya Kuleta Mfumo Mpya Wa Kufanya Mchakato Huo Na Wameanza Na Tume Ya Kuwaajiri Walimu Na Huduma Ya Kitaifa Ya Polisi.

Recommended