Nipe Nikupe Ya Makamishna 4 Wa IEBC

  • 2 years ago
Muungano Wa Azimio Umeendeleza Juhudi Zake Za Kuwatetea Makamishna Wa Iebc Dhidi Ya Kubanduliwa Kwao Afisini.Kulingana Na Viongozi Wa Azimio Bungeni,Mchakato Wa Kubanduliwa Kwa Makamishna Hao Kumechochewa Kiasiasa Na Hawautambui.Hii Inajiri Baada Ya Kinara Wa Azimio Raila Odinga Kusitisha Vikao Vya Umma Ambavyo Alikuwa Amesema Kuwa Vingeanza Jumatano Wiki Hii Kupata Maoni Ya Wakenya Kuhusu Mchakato Huu.

Recommended