Kanisa La Kianglikana Latupilia Mbali “Harambee” Kanisani

  • 3 years ago
Askofu Mkuu Wa Kanisa La Kianglikana Jackson Ole Sapit Sasa Amekaza Kamba Za Kutupilia Mbali Siasa Kanisani Na Sasa Kupiga Marufuku Sherehe Za "Harambee" Kanisani.Sapit Ameshikilia Kuwa Kanisa Litasalia Kuwa Mahala Pa Kuabudu Na Katu Nafasi Za Siasa Hazitapenyeza Miale Yake Hasa Taifa Linapojiandaa Kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka Ujao.Mwanahabari Milliah Kisienya Na Zaidi…