Mzozo Wa Msikiti Mathare Waumini Walalamika Kunyanyaswa Na NYS

  • 3 years ago
Waumini Wa Msikiti Wa Alnur Ulioko Katika Eneo La Mathare Wamelalamika Kile Wanachosema Ni Kufungwa Kwa Njia Inayoelekea Katika Msikiti Wao Na Idara Ya Huduma Ya Vijana Kwa Taifa Nys. Waumini Hao Pia Wanasema Kuwa Vijana Wa Huduma Hiyo Nys Wamekuwa Wakiwanyanyasa, Kwa Kuwazuilia Kutembea Katika Eneo Lao.