Matatu Na Mabasi Kubeba Idadi Kamili Ya Abiria Kuanzia Wiki Ijayo

  • 3 years ago
Wizara Ya Uchukuzi Imesema Kuwa Wahudumu Wa Matatu Na Mabasi Wanaweza Kubeba Idadi Kamili Ya Abiria Kuanzia Siku Ya Jumatatu Wiki Ijayo. Haya Yanajiri Wakati Taifa Linapokabiliana Na Mkurupuko Wa Virusi Vya Corona Vinavyozidi Kuongezeka Kila Uchao. Wizara Hiyo Imeshikilia Kuwa Wahudumu Wa Matatu Ambao Hawatatilia Maanani Maagizo Ya Wizara Hiyo Watapokonywa Leseni Zao.